Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

amna kitu unacho apo ni unique hakipo, hizo boards bongo zimejaaa but zinawekwa pale chini, sasa i dare you show us RAO skybox, VAR 🤣
Kwani siku hizi stands ziko chini?🤣🤣😂🤣.

Niliwaambia ATI watanzania will force their stadiums to also have advertising boards on the stands, sasa oneni huyu😂😂🤣
 
Kwani siku hizi stands ziko chini?🤣🤣😂🤣.

Niliwaambia ATI watanzania will force their stadiums to also have advertising boards on the stands, sasa oneni huyu😂😂🤣
zote ni LED tafauti ni location tu, nyie hamjaweka running track so obvious lazima muweke juu, sisi tumeweka and zinakaa pale chini tatizo liko wap?
 
zote ni LED tafauti ni location tu, nyie hamjaweka running track so obvious lazima muweke juu, sisi tumeweka and zinakaa pale chini tatizo liko wap?
Hapa tunaongea LED ribbon Boards or Fascia Boards. Don't confuse it with Perimeter LED Boards za watu kienyeji like Tanzanians 😂😂🤣
 
Hapa tunaongea LED ribbon Boards or Fascia Boards. Don't confuse it with Perimeter LED Boards za watu kienyeji like Tanzanians 😂😂🤣
we fala kweli zote ni LED boards na zote zinafanya same work, yaaani nguo uweke kwenye kamba unataka isiitwe nguo
 
we fala kweli zote ni LED boards na zote zinafanya same work, yaaani nguo uweke kwenye kamba unataka isiitwe nguo
So in short there's no Stadium in Tanzania that will have Fascia Boards anytime soon?😂😂🤣🤣
 
Is this Tanzania?😂🤣🤣
wewe umesema hakuna East africa ni RAO tu, sasa mm i dare you show us a SKYBOX and a VAR, infact show us any media in kenya owning this

1776894861926.png
 
Only 3 Stadiums in East Africa has Fascia Boards and non is in Tanzania.

Talanta Stadium
1000250467.jpg
 
So in short there's no Stadium in Tanzania that will have Fascia Boards anytime soon?😂😂🤣🤣
They serve the same person and they arent something to shout around for, kila stadium east africa zipo, mfano mkapa, azam, KMC, all zanzibar stadiums they decided to put them kwenye uwanja kabisa cha muhimu they serve the same perpose, what your supposed to be looking at is stadium functionality

EG; Is the drainage ok?
do we have a skybox
Are VAR working
Do we have camera to broadcast a match, sasa wewe umekazia LED ambazo tafauti ni location
 
Is this a stadium? Ama mambo ya Stadium pia umeachana nayo?😂🤣😂😂🤣🤣
Kwahio ulitaka ununue hio camera ukarecord goons ama, si ndo camera za uwanjan izo, Those are things you should focus on na ndo znazotumika kwenye VAR sasa wewe unatumia nguvu nyingi kuelezea LED which everyone chooses where to place them
 
Back
Top Bottom