Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So Amahoro ndio role model yako? Standard zenu ziko low Sana😂😂
Amahoro ndo the only CAT 4+ stadium ilopo in the region na ndo role modo wa region nzima, wewe role model wako anatakiwa kua uwanja wa Majaliwa Mtwara Ligi la CAT 4 bado hujafika
 
Wapi terrace ya 1000 hapo? Bongoslum 1000 ni VIP.

Buda we tuoneshe ticket yoyote Kenya above 7000ksh.
Hizo terraces ni naming , sisi tuna ordinary vip a , vip b,vip c na vvip.
Usitulazimishe tuwe na naming kama zenu. Inshort hizo vip 1 mpaka 3 ni terraces kwenu
 
Wapi terrace ya 1000 hapo? Bongoslum 1000 ni VIP.
Screenshot_20260426-194344~2.jpg

Hizi ni mechi za kawaida vvip 5000 ksh , leta hata mechi moja ya Kenya yenye vvip 5000ksh au minimum entrance fee ya 500
 
Hahaa mkiwa na uwanja mmoja?
Final hampati Buda nyinyi jiandaeni na kuchezesha mshindi wa tatu

Hahaa mkiwa na uwanja mmoja?
Final hampati Buda nyinyi jiandaeni na kuchezesha mshindi wa tatu
Kama kuhost Finals za CHAN Kasarani iliwalemea, AFCON ndio mtatoboa Talanta ikiwa 🤡😂😂
IMG_8023.jpeg
 
Kama kuhost Finals za CHAN Kasarani iliwalemea, AFCON ndio mtatoboa Talanta ikiwa 🤡😂😂
View attachment 3579784
Sasa kama mlikuwa mnajaza sababu ya kwenda kushaangaa uwanja?
Hivi unajua the highest ever recorded match revenue in east Africa Iko Tanzania at 30mil ksh au 602mil tsh.
Ule ulikuwa ushamba wenu, iweje Leo mnashindwa kulipia 12000 ksh per derby
 
Back
Top Bottom