ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hiyo refinery inaweza Kufikia huo mgodi na kiwanda chake?wewe wacha ndoto zako Tanga hii yenye kutaka kujengwa refinery? Mbeya inakalishwa milele!
Si ulinganishe, Trilioni 2 za direct Kwa Serikali kiwanda atapata hela Dangote.
Watu wa Tanga Traveller D &Co mpo? Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza | JamiiForums Mikoa 11 Yenye Nyumba Duni Tanzania: Zimejengwa na Kuezekwa kwa Udongo, Miti, Mabanzi na Nyasi. Imo Mikoa Maarufu ya Arusha, Kagera na Mwanza