stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Hawa wapumbavu ni bora wangeongeza ndege zao kwa jina moja la Air Tanzania huku wakizimudu wenyewe
huwa wanadai tunawa-hate utawapata online wakipiga njuru!Sasa ingekuwa ni mtanzania ndo kawafanyia hivyo , ungesikia kelele dunia nzima