It's business, brands and business go hand in hand. Ukose elimu, ukose exposure, ukose pesa, enyewe we ni fala.Yaan unahisi sisi tuna muda kuhangaika na brands kama nyinyi ,
Huku sehem za kula vyakula quality vipo kibao sio kama kwenu mpaka mtafute brands , hayo brands sisi tunawaachia watoto wa chuo🤣🤣🤣 wenye njaa