Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Wala hakuna anaekukataza kujipa moyo humu ndani. Ukiona nakuelemea tafuta picha zangu za zamani upost ili upate nafuu. 😂😂 mana wewe ndie unaeteseka kuliko wote humu. Utakufa zoea Tanzania.You are just unexposed. What you think are only available in Tanzania are all over Kenya. But what we have in Kenya hamna huko Tanzania 🤣🤣😂