Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
Anaefanya vizuri kwa ground ni Tz ๐คฃ๐๐๐๐๐
View: https://x.com/i/status/2050535610138419422
View: https://x.com/i/status/2050535610138419422
Unaniogopa sana. ๐๐
According to our dear baboon aka Traveller D, anaefanya vizuri kwa ground ni Tz.
๐๐๐๐
View: https://x.com/i/status/2050545128150888948
Anaefanya vizuri kwa ground ni Tz ๐๐๐คฃ๐๐Unaniogopa sana. ๐๐
Ngoja nikuelimishe. Tz ni kubwa jaribu mara mbili ya ukubwa wa kitaifa chenu kunya. Haiwezi kuwa na barabara za lami kila kona. Kwahilo wala usetegemee kuliona. Ila ukweli haubadilishwi kwa makasiriko yako. Tz ni leader.. we kama utaamua kulia lia tu sina cha kukusaidia. ๐๐๐
Anaefanya vizuri kwa ground ni Tz ๐๐๐คฃ๐๐
View: https://x.com/i/status/2046228067966763060
Vs
View attachment 3584582
Ndio maana hawampendi kazi ni kumletea ukabila kwa sababu hatokei โMurimaโ! ๐๐๐Ndio maana wanamkataa.? ๐๐๐. Sasa huko kwao matajiri hakuna. Wanategemea mazungu tu.
So nilie kwa sababu Tz only have 15,000km of paved roads while Kenya has 25,000km?๐คฃ๐๐คฃ.We lia tu me sina msaada. ๐๐
Mazuzu hayana pesa sasa yanatumia visa ๐๐๐Ndio maana hawampendi kazi ni kumletea ukabila kwa sababu hatokei โMurimaโ! ๐๐๐
Ndio maana huyu aliwachana ukweli.Mazuzu hayana pesa sasa yanatumia visa ๐๐๐
Ruto anashinda asubuhi na kweupe! Na kitakachotokea ni kambi ya Gachagua italazimisha awe mgombea wa Rais na kusahau Kalonzo Musyoka anawangojea!Ndio maana Ruto anatakiwa ashinde uchaguzi awamu ya pili ili Matajiri wa bongo waendelee kuwanyoosha.
sina hebu tuhabarishe!Pale ocean road kuna mradi u ajengwa, zimevunjwa zile nyumba za NHC .. una taarifa yoyote kaka.?
Ngoja niulizie.Pale ocean road nilipita jana nimeona wamevunja zile nyumba zote za NHC zilizokuwa kando ya barabara jirani na Agah khan hospital, halafu ni kama kuna ujenzi jnaendelea ndani, wamezungusha bati. babayao255 any idea.?