Unaniogopa sana. ππ
Ngoja nikuelimishe. Tz ni kubwa karibu mara mbili ya ukubwa wa kitaifa chenu kunya. Haiwezi kuwa na barabara za lami kila kona. Kwahilo wala usetegemee kuliona. Ila ukweli haubadilishwi kwa makasiriko yako. Tz ni leader.. we kama utaamua kulia lia tu sina cha kukusaidia. πππAccording to our dear baboon aka Traveller D, anaefanya vizuri kwa ground ni Tz.
ππππ
View: https://x.com/i/status/2050545128150888948
Anaefanya vizuri kwa ground ni Tz πππ€£ππUnaniogopa sana. ππ
Ngoja nikuelimishe. Tz ni kubwa jaribu mara mbili ya ukubwa wa kitaifa chenu kunya. Haiwezi kuwa na barabara za lami kila kona. Kwahilo wala usetegemee kuliona. Ila ukweli haubadilishwi kwa makasiriko yako. Tz ni leader.. we kama utaamua kulia lia tu sina cha kukusaidia. πππ
We lia tu me sina msaada. ππAnaefanya vizuri kwa ground ni Tz πππ€£ππ
View: https://x.com/i/status/2046228067966763060
Vs
View attachment 3584582
Ndio maana hawampendi kazi ni kumletea ukabila kwa sababu hatokei βMurimaβ! πππNdio maana wanamkataa.? πππ. Sasa huko kwao matajiri hakuna. Wanategemea mazungu tu.
So nilie kwa sababu Tz only have 15,000km of paved roads while Kenya has 25,000km?π€£ππ€£.We lia tu me sina msaada. ππ
Mazuzu hayana pesa sasa yanatumia visa πππNdio maana hawampendi kazi ni kumletea ukabila kwa sababu hatokei βMurimaβ! πππ
Ndio maana huyu aliwachana ukweli.Mazuzu hayana pesa sasa yanatumia visa πππ
Pale ocean road kuna mradi u ajengwa, zimevunjwa zile nyumba za NHC .. una taarifa yoyote kaka.?
Ruto anashinda asubuhi na kweupe! Na kitakachotokea ni kambi ya Gachagua italazimisha awe mgombea wa Rais na kusahau Kalonzo Musyoka anawangojea!Ndio maana Ruto anatakiwa ashinde uchaguzi awamu ya pili ili Matajiri wa bongo waendelee kuwanyoosha.
sina hebu tuhabarishe!Pale ocean road kuna mradi u ajengwa, zimevunjwa zile nyumba za NHC .. una taarifa yoyote kaka.?
Ngoja niulizie.Pale ocean road nilipita jana nimeona wamevunja zile nyumba zote za NHC zilizokuwa kando ya barabara jirani na Agah khan hospital, halafu ni kama kuna ujenzi jnaendelea ndani, wamezungusha bati. babayao255 any idea.?