Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanamziki Tanzania wa Kike Chocolate katambulishwa leo tu tayari yupo na followers 233K instagram


Kuna wanamziki wa kenya wapo na miaka zaidi ya 30 hawajiafikia hata 100K

1778172973168.png
 
Yet you will post those same news here when they report something negative about Kenya.🤣🤣😂.

In your mind Kenya should only have negative news. No wonder wewe ni mchawi.
Kwan mna chochote postive? apart from the slums and extremely poverty of nywele ngumu nn kingine kipo?
 
Haya ndio mambo!

Karne hii tuna focus kwenye sustainable transport. Umeme na gesi kulinda mazingira.

Sio Kasongo anatuletea habari za Treni za makaa ya mawe huko tsavo kuja kutuchafulia mazingira huku.
Kwahio rwanda, burundi, Uganda, congo kote unateleza na umeme ila ukifika tu apo juu, doooh moshi mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom