President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kaka watanzania wanaakili sana. Hizo Kelele wanazopiga ni udalali tu wa kumdalalia Dangote ili Tanzania iweze kupoteza mwelekeo iweze kumkaribisha Dangote na wakenya wapate pesa ya udalali. Hiz janja janja tunazijua.Kuna fitna hapo inapikwa,binafsi kwa issue kama ile na huku tukiwa na advantage ya EACOP,tungeacha dangote ajenge refinery huko msa,halafu TZ na uganda tuwaombe china wajenge ya kwetu tanga,ni risk sana kitu chochote kushirikiana na kenya
Unadhani issue serious kama hiyo ya kujenga refinery Serikali ya Tanzania isijue uwekezaji wa Dangote mpaka Ruto atutonye!!?
1. Tanzania haijawahi kuliongelea suala hili la refinery nashangaa wao wao wakenya waseongea ongea.
2. Tanzania ipo na mipango thabiti, miradi ya kimkakati hatuwezi kushirikiana na wasaliti
3. Dangote akijenga hiyo refinery huko Kenya Source of energy atapata wapi ya kuendesha hiyo refinery? (Tanzania kuna Gas na Makaa ya mawe, kenya wapo na nini?)
Ni mtu mjinga pekee wa kuwachukulia serious wakenya. Kenya is alredy dead country sasa wanatapa tapa ili wapate public sympath