Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww ndie utakaelia,TZ na UG lazima zitengeneze refinery iwe kwa dangote au kwa mpango mwingine wowote,hakuna hata lita 1 ya mafuta itakayotoka tanga kuja huko kwenu,jeuri yote hii inatokana na EACOP na TAZAMA,kikubwa nitafurahi hii refinery ikikamilika bila ya uwepo wenu 😂😂
Unajipa umuhimu ambao hauna. Total ndo watakaouza hayo mafuta, nyinyi hamna say
 
EACOP mlifanya hivihivi na tunajua mwishowe ulikuaje!
Geza unata tufanyeje na mwenye pesa kashasema anataka Mombasa? But naona Ruto akiikataa hii deal na akiinsist ijengwe tanga instead. Kenya hatunaga wivu na unafiki kama wenu
 
🔥🔥🔥
1000121870.jpg
 
Geza unata tufanyeje na mwenye pesa kashasema anataka Mombasa? But naona Ruto akiikataa hii deal na akiinsist ijengwe tanga instead. Kenya hatunaga wivu na unafiki kama wenu
it was all a political STUNT if that deal was really there isingekua ruto anasema tanga alafu dangote juba, it could have been well planned with correct info
 
Back
Top Bottom