unapelekea nan sasa Uganda anakaribia kumaliza ujenzi wa refinery yake, It wasnt called a train to no where for a reasonWe are currently discussing the Dangote refinery, ama SGR to Kisumu is also a component of that refinery?🤣🤣😂
sema internal imports because you have the biggest margin of imports vs exportsThe biggest ship to ever docked at any port in East and Central Africa is currently in Lamu Port.
369 meters long.
View: https://x.com/i/status/2053771485341188178
Wanafikiri refinery ni kama kununua mtura! Uzuri Uganda wanajenga refinery yao na Ukunduni wakikataa ku-take part in a refinery in Tanga, wanaweza kuachwa.Sio issue ya wivu wala unafiki ni kwamba Ruto mwenyewe anaelewa EACOP haiwezi kutumika Kenya kwenye project inayoweza fanyika Tanzania na Tanzania as a shareholder akakubali, EACOP ingekua Kenya wala Tanzania isingekua anything to talk about! View attachment 3587043
Tuletee clip ya mwenye pesa akisema ansprefer msa,halafu iisue ya refinery kujengwa twnga TZ tuna plan muda mrefu wala eti si kwa sababu ruto,kunyan mbona mnajipa umuhimu sana!refinery tanga itajengwa kivyovyote na dangote au bila dangoteGeza unata tufanyeje na mwenye pesa kashasema anataka Mombasa? But naona Ruto akiikataa hii deal na akiinsist ijengwe tanga instead. Kenya hatunaga wivu na unafiki kama wenu
Who told you Dangote refinery is only targeting Uganda?Wanafikiri refinery ni kama kununua mtura! Uzuri Uganda wanajenga refinery yao na Ukunduni wakikataa ku-take part in a refinery in Tanga, wanaweza kuachwa.
Hao waachwe,si wa kushirikiana naoWanafikiri refinery ni kama kununua mtura! Uzuri Uganda wanajenga refinery yao na Ukunduni wakikataa ku-take part in a refinery in Tanga, wanaweza kuachwa.
Kaka refinery ni international politics na inachukua zaidi ya miaka 10 kuijenga. Hawa hapa ndio wanaoendesha refienries duniani (Sinopec, China National Petroleum Corporation (CNPC/PetroChina), Saudi Aramco,TotalEnergies SE, and ExxonMobil) Kama hujashirikiana na hawa Refinery yako itaingia matatani.Wanafikiri refinery ni kama kununua mtura! Uzuri Uganda wanajenga refinery yao na Ukunduni wakikataa ku-take part in a refinery in Tanga, wanaweza kuachwa.
mbna yashaelezewa route ya mwanza
I meant it matters as Uganda the source of crude oil won‘t be affected as they have capacity to refine theirs! U won‘t hold them in ransom as they can still supply Ukunduni refined oil from UG Tilenga refinery!Who told you Dangote refinery is only targeting Uganda?
Uganda wanakaribia kumaliza refinery yao, sasa sjui mombasa watapitisha nnI meant it matters as Uganda the source of crude oil won‘t be affected as they have capacity to refine theirs! U won‘t hold them in ransom as they can still supply Ukunduni refined oil from UG Tilenga refinery!
Are you forgetting Kenya is also a source of crude oil?😂😂.I meant it matters as Uganda the source of crude oil won‘t be affected as they have capacity to refine theirs! U won‘t hold them in ransom as they can still supply Ukunduni refined oil from UG Tilenga refinery!
Acha uongo, hata financing of that project haijapatikana😂😂🤣Uganda wanakaribia kumaliza refinery yao, sasa sjui mombasa watapitisha nn