Akili kama hizi bongoslum huwezi pata.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2053716733958246593?s=20
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2053716733958246593?s=20
historia kwenye matibabu na capacity building? acha upuuzi na kufanya siasa kwenye kila kitu!Wavunje kote lakini sio zile wodi zetu pendwa Mwaisela, Kibasila na Sewa Haji. These zina historia hapa TZ.
Macron anataka kuwazaba wakenya vibao live, Ruto kakodi watu wa kupiga makofi muda wote akidhani ni kind of good welcoming gesture according to the bush Kunyaland mentality and whites bootlicking culture! 😢
View: https://x.com/i/status/2053835409554038956
Wow Kibos will be massive.Housing projects lining up in Kisumu. Hapo hawajaweka Makasembo and Anderson projects which are the biggest in Kisumu.
View attachment 3587212
Alikodi watu wakuneutralize wantam chants incase watapopping up akijua anadeal na tribalists wenzao kumbe ni international community ambayo haijozoea noise pollution 😅Kasongo amejaza mamluki wa kumshangilia kama vile mikatano yake na vijembe anavyopigana na bwana Gachagua
Yeah kibos will be bigger than this (Lumumba), Lumumba 2,300 housing units while Kibos will be 2,500 housing Units.Wow Kibos will be massive.
Hii ingekua bongoslum hatungepumua huku. 😂 😂 😂
View: https://x.com/Billionair1w/status/2053822243067527589?s=20
Hii venue ni basement car parkings za pipeline kind of?
View: https://x.com/i/status/2053835409554038956
Hii venue ni basement car parkings za pipeline kind of?
View: https://x.com/i/status/2053835409554038956
Tunangoja Dangote atuletee hio IPO ya refinery hapo NSE tuchangamke.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2053746937917309059?s=20
Hili Bango la Nyani Ngabu limesema yote.
View: https://x.com/NNgabu_/status/2053813227696357379?s=20
Kenya is really positioning itself in the world stage.
View: https://x.com/i/status/2053807539603513749
Si watanzania mnapenda domo domoHiyo venue tu ipo kama banda la bata bukini 😅 Kenya ipo nyuma kwenye kila kitu na bado Bomas mpya wanayojenga technically ni kama josho la kufumigate cattle