stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
mwaiofhawaii anasema wanakua influencialMeanwhile walitumia PR ya 5 billion kes kumfanyia macron challenge ya kusonga ugali! Na hakuna gain yoyote baada ya summit zaidi ya macron kuwaambia shut up or you will be in ship tomorrow
wakenya wana projects kila wiki, na wana gorofa zinaanguka kila wikiKalalu Kakakulana irrigation conship iliishia wapi tena? 😁 Si juzi kati tu hapa walitutambia hata mahindi yetu hawataki tena!
nchi yenyewe 10th poorest what else can it provideWalienda kumsongesha ugali macron kwenye rooftop kitchen badala wamuombe unga!
Does it even need researc? arent you aware top tech companies are banned in china?
View: https://youtu.be/Th4BpNBpDGc
Hakuna aliyesema picha ya Rais ni National Symbol ya kudumu kama Flag au National Anthem. Hapo umechanganya mambo mawili tofauti.Katiba inatambua National Anthem, Court of Arms na Flag. Hio upuzi ya picha ya Rais haiko Kwa Katiba because president's come and go but the Kenya remains supreme. Nyinyi endeleeni kulamba suluhu haga munaweka picha zake hadi Kwa choo eti munampenda. 😂😂
![]()
President Ruto's portrait removed from Siaya county assembly chambers
The exact date the portrait was removed remains unclear.www.the-star.co.ke
Si ni ukweli ye ni fala.Huwezi kutumia lugha nzuri?
Unachanganya “National Symbols” na “Government Protocol”.Katiba inatambua National Anthem, Court of Arms na Flag. Hio upuzi ya picha ya Rais haiko Kwa Katiba because president's come and go but the Kenya remains supreme. Nyinyi endeleeni kulamba suluhu haga munaweka picha zake hadi Kwa choo eti munampenda. 😂😂
![]()
President Ruto's portrait removed from Siaya county assembly chambers
The exact date the portrait was removed remains unclear.www.the-star.co.ke
Nashukuru upo tena. Tuendelee na mjadala wa wa kuhusu picha ya Rais, maana unaonekana hujui vitu vingi sana. Also acha kuweka lugha za matusi, tujadili kwa staha kwa manufaa ya wasomaji wengine.Si ni ukweli ye ni fala.
Si ulisema ni sheria eti iko kwa katiba, sasa sahii imegeuka tena kua protocol. Fala ni fala tu.Hakuna aliyesema picha ya Rais ni National Symbol ya kudumu kama Flag au National Anthem. Hapo umechanganya mambo mawili tofauti.
Kitu nilichokwambia ni kwamba nchini Kenya, kupitia government protocol, standing orders, circulars na administrative practice, ofisi za serikali huweka picha rasmi ya Rais aliyepo madarakani. Ndiyo maana hata huyo wa Siaya County Assembly alipoiondoa ikawa habari ya kitaifa na mjadala mkubwa, maana kuna official expectation ya kuwa nayo kwenye public offices.
Na hata Article 131(1)(e) inamtambua Rais kama “symbol of national unity”. Haimaanishi portrait ni constitutional symbol, bali inatoa msingi wa protocol ya serikali kumwakilisha Mkuu wa Nchi kwenye taasisi za umma.
Pia hakuna aliyesema wananchi binafsi lazima waweke picha ya Rais nyumbani au dukani. Hilo hata serikali ya Kenya ilishawahi kulieleza wazi.
Kwa hiyo usichanganye:
National Symbols siyo Government Protocol.
Soma nilichoandika vizuri kabla ya kukurupuka kutukana.Si ulisema ni sheria eti iko kwa katiba, sasa sahii imegeuka tena kua protocol. Fala ni fala tu.
Another win for Mombasa.
Ni kama hawa warabu wote wameamua kukimbia Tanzania. What's happening there kwani?
View: https://x.com/i/status/2054773699778097366