Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka kwenye Purchasing power watakudanganya.
Naomba uende details wasikuambie juu juu tu.
Naomba tuanze kama ifuatavyo je mtu mwenye 1 USD atanunua nini kati ya Kenya na Tanzania?
1 USD = Tsh 2612.50, 1 USD = Kes 128.90

Je Tsh 2612.50 utanunua nini nchini Tanzania? na Kes 128.90 utanunua nini Kenya?

Local transport fare average Tanzania ni TSh 700, Kenya ni Kes KSh 100, Ksh 100 ni sawa na Tsh 2021.28. Hapa Tanzania imeshinda. Dollar moja unaweza ukasafiri umbali wa mara tatu na ukabaki na change but kenya safari moja tu na unabaki na change.

Kwa undani kabisa ili ujue. Minimum salary ya Mtanzania mtumishi wa umma ni TSh 500,000, Kwa kenya Minimum Salary ya mtumishi wa umma ni Ksh 8,910 sawa na Tsh 180,095.74

Hii hapa Table nimeweka mwisho Tsh equivalent to Ksh

CategoryNairobi (KES)Dar es Salaam (TZS)Dar Cost (in KES)
Single room rent (Low-income)KSh 5,000 – 9,000TSh 80,000 – 180,000KSh 4,000 – 9,000
1-bedroom (Middle-income)KSh 18,000 – 40,000TSh 350,000 – 800,000KSh 17,000 – 40,000
Meal at local food placeKSh 250 – 500TSh 3,000 – 8,000KSh 150 – 400
Street food / SnackKSh 50 – 150TSh 500 – 2,000KSh 25 – 100
Bottle of water (1.5L)KSh 60 – 120TSh 1,000 – 2,000KSh 50 – 100
Daily commuter transportKSh 100 – 300TSh 1,000 – 4,000KSh 50 – 200
Monthly transport costKSh 4,000 – 10,000TSh 80,000 – 180,000KSh 4,000 – 9,000
Internet bundle / MonthKSh 1,500 – 4,000TSh 20,000 – 70,000KSh 1,000 – 3,500
Electricity (Small apt)KSh 2,000 – 5,000TSh 30,000 – 80,000KSh 1,500 – 4,000
1 kg RiceKSh 180 – 300TSh 2,500 – 4,000KSh 125 – 200
1 kg ChickenKSh 500 – 900TSh 7,000 – 12,000KSh 350 – 600
Monthly groceries (Single)KSh 8,000 – 18,000TSh 150,000 – 300,000KSh 7,500 – 15,000

Watuambie sasa ni Pesa gani yenye purchasing kubwa?
​
Kina British Bulldog tunawasubiri huku mje mjibu hoja hapa 😁
 
JKIA is the biggest cargo hub in Africa. Wacha kujiaibisha.
Ndio comeback yako hiyo ya kishamba ivi unajua maana ya logistic hub/park kama uliyosema hapo mwanzo? A cargo hub is not a logistics hub. Lete hapa logistic hub from Kunya acha kurukaruka uanzishe mjadala wewe uhamishe magoli wewe hapa nakamata kende na vise siachii.
 
uwanja wa Yanga ujenzi wake utaanza hivi karibuni. 👇🏾
IMG_5099.jpeg
IMG_5110.jpeg
IMG_5101.jpeg
IMG_5109.jpeg
IMG_5103.jpeg
 
Ndio comeback yako hiyo ya kishamba ivi unajua maana ya logistic hub/park kama uliyosema hapo mwanzo? A cargo hub is not a logistics hub. Lete hapa logistic hub from Kunya acha kurukaruka uanzishe mjadala wewe uhamishe magoli wewe hapa nakamata kende na vise siachii.
Sasa kwani unadhani hio Cargo hub inakua linked na nini? Bongolala ushamba itawamaliza.
 
wacha kua na hopes,hii kitu itajengwa mombasa...Dangotee mara mingi alitaka kuja kufanya biashara Kenya tatizo ni alikua akisumbuliwa na serikali ya uhuru. Ruto si mjinga ukiskia akisema hao pia kuna venye watachangia pia hao wapate kitu jua ashapiga hesabu zake..anawapumbaza..but behind the doors the deal is sealed.Ruto wont let this slide especially venye kuna campaighn zenye zinakuja..hizi ndio zitakua project atatumia..
Kampeni zenu huwa zina feli mara zote, kumbuka ya bomba la mafuta na ya Odinga kuwa mwenye kiti wa Au🤣
 
Hadi kufikia 2028 Tz itakua na viwanja Saba vyenye standards za CAF.

1. Lupaso stadia
2. Dom stadia
3. Arusha stadia
4. Fumba stadia
5. Yamga stadia
6. Amani stadia
7. Gombani stadia

Vs Two lavid stadias in kunyarenda 😂😂😂
 
Barabra ya njia sita hii ni from city center to Chamwino. Kuna vimji vya ukunduni vinajisifu maendeleo kwa kujemga affordable housing projects. 😂😂😂😂
 
😂😂 mimi Simba mkuu, nime kubali tu kuona Tz tunakimbiza watu wa ukunduni

Nimemskia Raisi akisema ujenzi wa uwanja wao unaanza kesho, kwamaana hiyo 2028 tunakua na uwanja mwingine mkubwa standards za FIFA in Dar.

Makunya tunayaacha mbali mno kiviwanja vya mpira. 😂😂 hiyo ndio furaha yangu.
mbona mnaweka ubao wa 5:1?
 
Back
Top Bottom