NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Kumeanza kuchemuka naona kavaa na kanzu inawezekana hata swala ya Ijumaa wamefanya pamoja!
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/2055591771942314438
View: https://x.com/ikulumawasliano/status/2055589347508777133
![]()
MY TAKE
Hali ya Ruto ikoje huko alipo? Akitoka hapo Dangote anaenda Kampala na Kinshasa!
Teargass NairobiWalker nairobae mwathadan Nicxie IamLee n Nairoberry
Hivi wewe mwanaume wa makende mbili unafurahia tu kuona rais wenu kamsalimia Dangote? Hujui ameongelea nini unafurahia tu salamu?