babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Imagine mradi mkubwa kama huo Rais wala hayupo hapo, wakati nchi zingine kama ukunduni Rais anazindua nguzo za umeme. 😂😂😂ile barabara ya six lanes inajengwa hapa. 👇🏾 DOM city. View attachment 3590744View attachment 3590745Leo mkandarasi alimwaga wino. 👇🏾View attachment 3590748imagine 32km road halafu ni 6 lanes .. tena inajengwa Dom.? Sikuwahi kudhani kama kuna siku tutashuhudia miradi ya kinyama hivi ikifanyika Dom.