Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I am trying to prove that you are are a stupid desperate Nyamwezi who thought having foldable seats is something to be proud of only to get the same bakuli seats in your vagina stadium
Saa hii Jamaa ametoka Hadi hataki kuongelea mambo ya Stadiums tena🤣😂🤣.

Alafu Kitu inamkasirisha zaidi ni inside view of their stadium😂😂

 

WIZARA YA UCHUKUZI​


PLANS (2026/27)
11. Tanzania Port Authority (TPA)


A. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeweka lengo la kukusanya jumla ya Shilingi trilioni 1.91 kutoka katika vyanzo vya ndani vya mapato vitokanavyo na huduma za kibandari.

B. Kuhudumia shehena ya tani milioni 43.37

C. Tanga port kujenga gati la kuhudumia shehena ya mafuta (liquid bulk handling jetty) Raskazone , litakalowezesha Bandari ya Tanga kuhudumia meli kubwa za shehena ya mafuta;

D. Kuendelea na shughuli za ujenzi wa Bandari ya Mtwara kwa ajili ya kuhudumia shehena ya kichele (dry bulkcargo)

12. Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA)
A. Imeweka lengo la kukusanyajumla ya Shilingi bilioni 247.33

13. Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL)
A. Imeweka lengo la kukusanya Shilingi trilioni 1.09

B. Kuongeza idadi ya vituo vya safari kutoka vituo 33 vinavyohudumiwa hivi sasa hadi kufikia vituo 47 vya ndani na nje ya Tanzania;

C. Kujenga karakana mpya ya ndege katika kiwanja cha JNIA;

14. Shirika la Reli Tanzania (TRC)
A. Limeweka malengo ya kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 352.87

B. Kufanya Upembuzi Yakinifu na usanifu wa awali wa ujenzi wa Reli ya SGR kutoka Isaka – Lusahunga – Mulongo/Kikagati – Mpondwe (Uganda);

C. Kukamilisha ujenzi wa reli ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza ifikapo mwishoni mwa mwaka 2028 na Dar es Salaam – Kigoma ifikapo mwishoni mwa mwaka 2029

15. Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA)
A. Inatarajia kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 48.33

16. Kampuni ya Meli ya China na Tanzania (SINOTASHIP)
A. Imeweka lengo la kukusanya Shilingi bilioni 20.65 kutokana na shughuli za usafirishaji wa mizigo na uwakala wa meli.

B. Kununua meli ya kubeba mizigo (general cargo vessel) itakayofanya safari kati ya China na Tanzania.

17. Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO)
A. Inatarajia kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 12.21 kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani kwa kusafirisha abiria na mizigo katika Maziwa Makuu ya Victoria, Tanganyika na Nyasa.
 
Show me any developed country with bigger foreign debts than Domestic. Nyinyi hamna Tu pesa that's why even bonds and bills are foreign concepts to you. Who told you government debts are only by banks? Wewe ni foolish tu.
 
Na yote 32 km inapita through the whole developed area (city) ingekua Kunyaland 32km it's 5 counties through bushes and uninhabited emptiness
Im waiting for you to post for us active WiFi routers around you. Ama masimu za kufungua hotspots haziko?🤣🤣😂
 

WIZARA YA UCHUKUZI​


PLANS (2026/27)

18. Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)

A. NIT imeweka lengo la kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 34.91 kutoka katika vyanzo vya mapato ya ndani yatokanayo na utoaji wa mafunzo, tafiti na ushauri wa kitaalam.

B. Kununua Aviation System Trainer (Avionics) kwa ajili ya mafunzo ya usafiri wa anga

19. Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI)
A. DMI inatarajia kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 16.35 kutoka katika vyanzo vya ndani vitokanavyo na utoaji wa elimu na mafunzo, tafiti na huduma za ushauri wa kitaalam.

NB: Vyuo vingine vimetengewa bajeti ya kujiimarisha ni:
A. Chuo cha Bandari
B. Chuo cha Usafiri wa Anga (CATC)
C. Chuo cha Teknolojia ya Reli (TIRTEC)
D. Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa
 
Show me any developed country where foreign debts are bigger than domestic debts. Nimekaa pale nangoja🤣😂
France’s general government debt is roughly split evenly between domestic and foreign holders. Approximately 50% to 51% of French sovereign debt is held by foreign investors, while the remaining 49% to 50% is held domestically by French financial institutions, central banks, and retail investors.

Switzerland's external (foreign) debt is significantly larger than its domestic debt, representing about 226% of GDP, whereas the broader national public debt (domestic and external combined) stands at approximately 30-40% of GDP
 
Hii inatoshana na Kibos Dry port in Kisumu that serves the MGR in that side🤣😂😂
Unachekesha sana kijana hiyo ni part ya Kwala Dry Port tuu kitengo cha containers. DRC, Zambia, Rwanda, and Burundi have their plots in and around that area. This project is not only a dry port but involves an industrial cluster as well.
 
This is 50-50 wewe idiot. Now compare it to Tanzania where 90% of total debts are held by foreigners 😂😂🤣
 
These are general debts for both government and foreign lenders. These are not government debts alone.
 
Show me any developed country with bigger foreign debts than Domestic. Nyinyi hamna Tu pesa that's why even bonds and bills are foreign concepts to you. Who told you government debts are only by banks? Wewe ni foolish tu.

Kwanini unataka akupatie data za developed countries wakati hapa ni issue ya kunyaland government kutegemea local banks kwa mikopo na kusababisha sekta za ndani kushindwa kushamiri maana haziwezi kuwa na dhamana kama serikali!?

Focus na kunyaland, mambo ya developed countries achana nayo.
 
Tupe darasa kuhusu huli la deni la ndani kubwa na la nje kubwa.
Serikali ikikopa hela kwenye soko la ndani ina punguza liquidity ya soko la ndani na hivyo kupelekea kukauka kwa mikopo kwa private sector matokeo yake biashara za ndani zinashindwa kukua na kunakuwa na economic stagnation kama ambavyo tunaona Kenya sasa. Hivyo ni busara kukopa hela nyingi kwenye soko la nje kuliko la ndani ili kutoathiri credit to private sectors maana private sector ndio engine ya economic growth sasa ikiwa starved of credit lazima uchumi uyumbe.
Serikali nyingi zinazokosa vigezo vya kukopa kwenye soko la nje hukimbilia kwenye soko la ndani kwasababu ni rahisi kupata hela bila masharti ila serikali inayojitambua inatakiwa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kama italazimika kukopa kwenye soko la ndani basi iwe kwa kiasi kidogo ili shughuli za uchumi zisiathirike.
 
Sasa kaulize budget ya Kenya ya wizara husika inafanya kazi gani utacheka mpaka ufe na wenyewe ukiwasikia wanakuambia hapa budget yao ya transportation ni kubwa😁
 
Kenya is approaching being developed and if I look at all the developed countries, they source their debt domestically. It's only LDC countries like Tanzania ndio wanategemea wazungu to give them loans😂😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…