stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
😀😀😀😀😀😀😀😀Asee unge ambatanisha na ile picha yake. 😂😂😂
From Inside it doesn't look like a stadium 😂😂🤣
Sasa kwa kuangalia tu hapa ni kiwanja kipi kinaonekana cha kipekee? Cha juu au hilo sufuria la chini a.k.a African designImagine unavyochanganyikiwa kupost stracture iliyokamilika vs ile haijakamilika. 😂😂😂 huku ni kuzidiwa.
Kovu gn mkuu, hebu weka hapa tulione, nmepitwa na mengi 🤣🤣🤣🤣kama huna cha maaana cha kuongea nenda katibu ilo kovu
lipicha lake nipo uko nyuma si unajua kijana ni goonKovu gn mkuu, hebu weka hapa tulione, nmepitwa na mengi 🤣🤣🤣🤣
fanya utonyeshe na comments kidogoSasa kwa kuangalia tu hapa ni kiwanja kipi kinaonekana cha kipekee? Cha juu au hilo sufuria la chini a.k.a African design View attachment 3591218