Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata EACOP walifanya hivihivi wakaenda kuungana na Tullow oil! Leo hii miaka 11 baadae hamna single km of pipeline has been built!
umenkumbusha mbal EACOP kuna kampuni ilipewa ianze uchimbaji na waandishi wakaenda kabisa pale na mkataba ukasainiwa πŸ˜‚ πŸ˜‚ miaka 5 mbele wameishia kujenga vibanda vya wafanyakazi na ule mradi ukauzwa tena kwa mwingine
 
Ukweli ni kwamba mafuta yalioko Lokichar ni madogo hayawezi kushawishi ujenzi wa pipeline au refinery!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…