Unakichaa wewe hakuna investor ataweka facility karibu na Al Shabab never
Fokker zilikuwa 2 moja kubwa na nyingine ndogo. G550 naona imeuzwa Marekani kama sikosei.Actually kuna ndege 4
1. Gulf stream g700 hii mpya imenunuliwa last year
2 gulf stream g550 hii ilinunulia 2003 na bado ni young kwa ninavyoona
3. q400 hii imenunuliwa mwaka huu mwanzoni ili kupunguza over reliance kwa ndege za Air tanzania hasa regional trips , trips za mikoani na EA
4. Fokker 27 hii tunaonaga PM anaitumia sana
Mimi concern yangu ni G550 imepangiwa nini still inatumika , ina undergo Checks? au waipige mnada maana kwa private jet hasa ambaazo hazitumiki sana wanaweza pata hela nzuri wakipiga mnada ikapatikana hata hela ya vituo vya afya 😄
Plus G550 baado ziko sokoni na watu wengi mashuhuri wanazitumia hasa ma rais , option nzuri pia inaweza kui maintain ikawa part ya VIP transport pia
The refinery will be either in Mombasa or Lamu.Unakichaa wewe hakuna investor ataweka facility karibu na Al Shabab never
View: https://x.com/i/status/2056985078807367748 ruto anajua kuangaika,anatembeza bakuli kila nchi!
Toka imezinduliwa sjaona any new dev pics na mda unaenda Uganda washaanzisha bond yao ya ujenzi wa SGRIle ilikuwa PR tuu hamna kitu hapo. Watu huwekeza kwenye viable projects sio hii garimoshi
Au labda you pay more to access meza 🤣Hizo meza hata karakana ya reli KRA wanaweza kuziongezea urefu ila tatizo hela baba😁
Nigeria tuna kisasi nao lazima waite maji mma this time.

Are you forgetting Kenya is supposed to have shares in Dangote's refinery? Those are the funds that Ruto is looking for. Najua kiingereza kimekupiga chenga hapo😂😂
Heri Jamaica, nyinyi mnakuja kuomba Kenya.View attachment 3591693
Maku nyie ni omba omba,mlienda kuomba hadi jamaica
Heri Jamaica, nyinyi mnakuja kuomba Kenya.