stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Uzuri ya kwetu inajengwa na serikali na sio ya kulipia hapo ndio tofauti kubwa ilipo😁Nyef nyef, sahii munataka kuanza kuimba wimbo wa expressway na mulikua mukitutusi ju hamna. Tunawajua. 😂 😂 😂 Let the choir begin.
nmeipata hii apaUzuri ya kwetu inajengwa na serikali na sio ya kulipia hapo ndio tofauti kubwa ilipo😁
sasa kama raia zenyewe ni isuzu hakuna tafauti sana, ata ivo saahv wanatembea ela ya amfuta hawana
View: https://x.com/LimitlessKe95/status/2057064850891698306?s=20
Uko Eldoreti umekuwa ukijengwa mwaka wa 20 huu.Uwanja mmoja wa mazoezi wamegive up, jina nmelisahau ila washatangaza
They did a lot of manipulations kama kina British Bulldogdo you know at one point Ethiopia has a GDP of $180B and it fell to $90B in a single year?
sema 10th extremely poor nationMzigo umechacha huo dah hasara tupu ukiwa unafanya kazi kwenye one of the poorest countries in the world.
kila mwaka naskia unatengeneza bajeti 😂Uko Eldoreti umekuwa ukijengwa mwaka wa 20 huu.
ndo kinacoenda sasa kutokea pale mathare, the situation is so bad that 90% of tax znatumika kulipa madeni ya nyuma, ata lile bati kwenda kisumu sjui kama linaendeleaThey did a lot of manipulations kama kina British Bulldog
Six months hiyo kwioohe said in 6 months
kilichowaokoa hawa wasipite njia ya Ethiopia ni Eurobond after Eurobond mwisho wake wataanguka kwa kishindo kikubwa kuliko hata Ethiopia wakati ule.ndo kinacoenda sasa kutokea pale mathare, the situation is so bad that 90% of tax znatumika kulipa madeni ya nyuma, ata lile bati kwenda kisumu sjui kama linaendelea
90% ya kodi znatumika kulipa madeni ya nyuma, hapo hujahesabu hizi mpya za ruto, apo hakuna way that devalue pesakilichowaokoa hawa wasipite njia ya Ethiopia ni Eurobond after Eurobond mwisho wake wataanguka kwa kishindo kikubwa kuliko hata Ethiopia wakati ule.
Barabara ya 12km pia ni kitu ya kulipishwa. 😂 😂 😂Uzuri ya kwetu inajengwa na serikali na sio ya kulipia hapo ndio tofauti kubwa ilipo😁