Uzuri ya kwetu inajengwa na serikali na sio ya kulipia hapo ndio tofauti kubwa ilipo😁Nyef nyef, sahii munataka kuanza kuimba wimbo wa expressway na mulikua mukitutusi ju hamna. Tunawajua. 😂 😂 😂 Let the choir begin.
nmeipata hii apaUzuri ya kwetu inajengwa na serikali na sio ya kulipia hapo ndio tofauti kubwa ilipo😁
Mzigo umechacha huo dah hasara tupu ukiwa unafanya kazi kwenye one of the poorest countries in the world.sasa kama raia zenyewe ni isuzu hakuna tafauti sana, ata ivo saahv wanatembea ela ya amfuta hawana
View: https://x.com/LimitlessKe95/status/2057064850891698306?s=20
Uko Eldoreti umekuwa ukijengwa mwaka wa 20 huu.Uwanja mmoja wa mazoezi wamegive up, jina nmelisahau ila washatangaza
They did a lot of manipulations kama kina British Bulldogdo you know at one point Ethiopia has a GDP of $180B and it fell to $90B in a single year?
sema 10th extremely poor nationMzigo umechacha huo dah hasara tupu ukiwa unafanya kazi kwenye one of the poorest countries in the world.
kila mwaka naskia unatengeneza bajeti 😂Uko Eldoreti umekuwa ukijengwa mwaka wa 20 huu.
ndo kinacoenda sasa kutokea pale mathare, the situation is so bad that 90% of tax znatumika kulipa madeni ya nyuma, ata lile bati kwenda kisumu sjui kama linaendeleaThey did a lot of manipulations kama kina British Bulldog
Six months hiyo kwioohe said in 6 months
Nyangau atafika huku 2150🤣🤣🤣
kilichowaokoa hawa wasipite njia ya Ethiopia ni Eurobond after Eurobond mwisho wake wataanguka kwa kishindo kikubwa kuliko hata Ethiopia wakati ule.ndo kinacoenda sasa kutokea pale mathare, the situation is so bad that 90% of tax znatumika kulipa madeni ya nyuma, ata lile bati kwenda kisumu sjui kama linaendelea
90% ya kodi znatumika kulipa madeni ya nyuma, hapo hujahesabu hizi mpya za ruto, apo hakuna way that devalue pesakilichowaokoa hawa wasipite njia ya Ethiopia ni Eurobond after Eurobond mwisho wake wataanguka kwa kishindo kikubwa kuliko hata Ethiopia wakati ule.
Maneno mengi ya kanga mara uchumi mkubwa kuliko majirani, mara tuna mtandao mkubwa kuliko majirani, mara tunajenga refinery Tanga ni vituko juu ya vituko tuu ila uzuri watu duniani siku hizi wameshawastukia.
Barabara ya 12km pia ni kitu ya kulipishwa. 😂 😂 😂Uzuri ya kwetu inajengwa na serikali na sio ya kulipia hapo ndio tofauti kubwa ilipo😁