Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo hachomoki 🤣 🤣 🤣 🤣 Tuponaye sako kwa bako
Hii comment nimeikuta kule kwa mwenetu Bartin. Probably ni huyo fala. 🤣🤣🤣
IMG_5706.jpeg
 
Uko Tandale, Niko America and you wanna tell me what a Mall is …. Ninja please !..😆😆
alafu ungejua no one cares about these personal info, wewe post malls sisi tutajua kama ni mall ama sio mall kwanza umepost sehem ya lingerie
 
Mtu yupo USA anafanya kazi za ndani kuosha vikongwe wa kizungu. Halafu anakuja kutupigia kelele sisi huku. Ngoja tumuulize mwaiofhawaii unatuma lini remittance Turkana kwa kutumia Nala ya Tanzania?
anaonekana maskini sana maaana hata akili ya kawaida hana, wenzake wanakataa ebola yeye anasema ni influential project, uongo ndugu mwaiofhawaii ?
 
Back
Top Bottom