mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,693
- 7,052
Keep telling yourself that… to paraphrase 2 Chainz… “ Yuuu getting maaaaad , we getting rich !” …. 🤣🤣🤣Ni kama unajiongelesha upumbavu. Huenda huu ujinga ulioandika hapa ungekua na maana 90s sio sasa. Biashara zote unazoziskia Tz zinamilikiwa na watanzania wenyewe foreign investments ni za kutafuta na tochi huku. 😂😂😂 tena kwa sasa ndio kabisa. Kwa maana waTz wanaenda uchina wenyewe. Hakuna mfanya biashara mkenya anawezashindana na mtanzania. 😂😂 hiyo izame kwenye bichwa lako lisilo na akili hilo.