President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Tanzania Women's Football League vs Kenya Menβs Football League salaryGusii stadium nyumbani kwa Shabana Fc ujenzi umeanza wa uwanja mpya. Sportpesa League itasumbua sana hapo mbele.
View: https://x.com/i/status/2053392770027430124
Licha ya ku-charge zaidi, yanga full season revenue kutoka Kwa gate ni ksh 41m, hizi numbers hazina tofauti kubwa na Gor ambayo imekuwa ikifanya vibaya last season πππWhich gate collections?
Yanga Gate Collection for whole year is $470,500 USD
Simba Gate Collection for whole Year is $560,300 USD
Go Mahia is $170,000 for whole year. Sasa tuambie unajivunia nini hapa? π€£ π€£ π€£ π€£
UongoLicha ya ku-charge zaidi, yanga full season revenue kutoka Kwa gate ni ksh 41m, hizi numbers hazina tofauti kubwa na Gor ambayo imekuwa ikifanya vibaya last season πππ
wacha wee, tell us moreLicha ya ku-charge zaidi, yanga full season revenue kutoka Kwa gate ni ksh 41m, hizi numbers hazina tofauti kubwa na Gor ambayo imekuwa ikifanya vibaya last season πππ