Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii nayo ni mall? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
View attachment 3598999
A mall with one vehicle parked in front and no visible foot traffic!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ At this rate, you'll call anything in Dar rising three or four floors a mall
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… what do you expect them to post when you try competing with the mall capital
 
Angalieni vichekesho wakuu, yani mpaka leo bingwa wa ligi ya kenya anapokea milioni 200 kama prize money ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Screenshot_20260601_123508_ChatGPT.jpg
 
Alafu angalieni mshindi wa pili na watatu kile wanachopokea, kumbe ndiyo mana wachezaji wa kenya wote ndoto zao kucheza NBC premier league ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wapambane na hunger kwanza ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
Kuna viashiria vingi sn kuonesha nchi yenye uwezo na ile isiyo na uwezo, angalia kwenye suala la Afcon tu utagundua ni nchi gn inajiweza kati ya Tanzania na kenya, angalia kwenye michezo kwa ujumla, angalia sanaa, angalia chakula, angalia infrastructural transformation utaelewa ni nchi gn maskini zaidi kati ya hizi mbili.
 
Dawa imeanza kupenya ๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰
Duh!! yaani Dawa ipenye hivyo. Unajua budget ya Simba, Yanga na Azam kwa msimu mmoja?
Check hapa:

KlabuThamani ya Shilingi (TZS)Thamani ya Dola (USD)
Yanga SCBilioni 33.7~$16.84 Milioni
Simba SCBilioni 29.5~$14.78 Milioni
Azam FCBilioni 12.0 โ€“ 15.0~$6.00 โ€“ $7.50 Milioni
 
Kenya ni South Sudan iliyochangamka
 
Duh!! yaani Dawa ipenye hivyo. Unajua budget ya Simba, Yanga na Azam kwa msimu mmoja?
Check hapa:

KlabuThamani ya Shilingi (TZS)Thamani ya Dola (USD)
Yanga SCBilioni 33.7~$16.84 Milioni
Simba SCBilioni 29.5~$14.78 Milioni
Azam FCBilioni 12.0 โ€“ 15.0~$6.00 โ€“ $7.50 Milioni
Uyo anafikiri sisi tunaleta masiala kama wao.
 
Back
Top Bottom