President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kenya ni riadha na rugby pekee. Sema mchezo mwingine zaidi ya hiyo miwili.Sisi bado sana kwenye michezo? 🤣🤣🤣🤣
Hebu nikuulize, Tanzania inajulikana kwa michezo ipi?
Kenya ni riadha na rugby pekee. Sema mchezo mwingine zaidi ya hiyo miwili.Sisi bado sana kwenye michezo? 🤣🤣🤣🤣
Hebu nikuulize, Tanzania inajulikana kwa michezo ipi?
Nyie hampo systematic, mnasuburi chokoraa zipambane kwa uwezo wao ndiyo ziwaletee tumedali tuwili tutatu kwenye mambio ya kilometa 100,000, lkn hamna investment yoyote kwenye michezo. Angalia watoto wetu hawa hapa wanaenda world cup 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥Sisi bado sana kwenye michezo? 🤣🤣🤣🤣
Hebu nikuulize, Tanzania inajulikana kwa michezo ipi?
Mchezo wao ni mambio ya kilometa 100,000 na sio mchezo mwingine. Na hata hayo mambio yenyewe kwa sasa tumeanza kurudisha heshima yetu, nowadays tunacheza na academies tu.Kenya ni riadha na rugby pekee. Sema mchezo mwingine zaidi ya hiyo miwili.
Tuonyeshe Barabara zinazoelekea Arusha stadium 😂Tanzania ndiyo baba wa soka EA. Imagine Afcon inachezwa katika miji mitatu tofauti.
1. Dar Es Salaam
Mkapa Stadium View attachment 3599129
2. Zanzibar
Fumba Stadium View attachment 3599130View attachment 3599131
3. Arusha
State of the art View attachment 3599134
Nyie wakenya bado sana, uchumi wenu hauruhusu, uchumi mdogo sn, hamuwezi hizi mambo.
Zinajengwa. Hujui?Tuonyeshe Barabara zinazoelekea Arusha stadium 😂
Wameanza kuiogopa Sportpesa League. Hizi ni revenue kati ya Gor na Nairobi United timu ilipanda ngazi last season
View: https://x.com/i/status/2061333596854452701
Mmejenga stadium in the middle of nowhere. Ile aibu inawasubiriZinajengwa. Hujui?
Kichaa uyo, yn Tanzania ijenge state of the art alafu ishindwe kujenga vibarabara.Zinajengwa. Hujui?
Ndo utajuwa kwamba who's the father in this region, hii Afcon ndo inakwenda kuwazika wazima wazima.Mmejenga stadium in the middle of nowhere. Ile aibu inawasubiri
Nani kakuambia is in the middle of nowhere? MtajeMmejenga stadium in the middle of nowhere. Ile aibu inawasubiri
Naona unajaribu ressurection ambayo ilipitwa na wakatiIamLee tunaendelea tulipoishia
32. Mbezi Beach Plaza
View attachment 3598974
View attachment 3598975
Wewe una post usiku wa manane umekuwa mchawi? Mwenzako kaleta Battle ya Karen vs Msasani.Naona unajaribu ressurection ambayo ilipitwa na wakati
League tumei-revamp juzi na tayari mshindi anakula 20m. Hio ni around $155kTuiogope ligi ambayo mshindi anapata milioni 100 za Tanzania