Only one carriage in the entire train is something to boast about?. Comfort amidst chaos,, nice innovation by the way, indeed hapo mmejiongeza 😁When your “ Bush stopper Train” acquire this , then you can have the nerve to talk … hapa ni Kenya si ulaya …
View attachment 3598534
Uliwahi kuona wapi fenicha za nyumba zinawekwa ndani kabla ya kupaka rangi. Hiyo talanta itakuwa na finishing mbovu sana.Ati ni affordable stadium 😂😂😂👇🏾Eng wa uwanja ni nani.? View attachment 3599916View attachment 3599917Hebu ona uwanja wa Rusha 👇🏾platform kabla haijaekwa viti ilivyo bora. kama ndani ya nyumba ya mtu tu kalii 🔥🔥🔥View attachment 3599919View attachment 3599920
Talanta Stadium is stuck sioni progress yoyote recently bado wanasubiri hela toka serikalini? Arusha itaisha kabla ya Talanta japo wao walikuwa mbele kiutekelezaji.Ati ni affordable stadium 😂😂😂👇🏾Eng wa uwanja ni nani.? View attachment 3599916View attachment 3599917Hebu ona uwanja wa Rusha 👇🏾platform kabla haijaekwa viti ilivyo bora. kama ndani ya nyumba ya mtu tu kalii 🔥🔥🔥View attachment 3599919View attachment 3599920
Hiyo hela ikiisha watauza asset nyingine tena 🤣🤣🤣
Mimi nimeshangaa pia, wao walikua mbele ya muda lakini tuponao sawa now, na bila shaka kwa speed yetu, tutawahi kumaliza kabla yao.Talanta Stadium is stuck sioni progress yoyote recently bado wanasubiri hela toka serikalini? Arusha itaisha kabla ya Talanta japo wao walikuwa mbele kiutekelezaji.
mbna uko kuna afadhali uku ndo wakandarasi wamekimbia kabisaMimi nimeshangaa pia, wao walikua mbele ya muda lakini tuponao sawa now, na bila shaka kwa speed yetu, tutawahi kumaliza kabla yao.
kwa saahv hawana kingine cha kuuza only option ni kuongeza inflationHiyo hela ikiisha watauza asset nyingine tena 🤣🤣🤣
hio mbna ina afadhali uku ndo kabisaa mkandarasi kakimbiaTalanta Stadium is stuck sioni progress yoyote recently bado wanasubiri hela toka serikalini? Arusha itaisha kabla ya Talanta japo wao walikuwa mbele kiutekelezaji.
Yanaweza hata kufika mara 10, since Kanda ya Ziwa ndipo kuna idadi kubwa ya watanzania, watu wa Kagera, Musoma, Simiyu, Geita wote watatumia SGRJapo train passengers' service is not a super profitable segment ya transportaion kwa TRC lakini kwa mwendo huu na mapato yanayopatikana from passenger service TRC imeweza kuanza kujimudu kiundeshaji na hapo bado inaishia Dodoma tuu Mwanza na Kigoma ikikamilika mapato ya passengers yataongezeka 5 times na hapo bado cargo haijanza with full force.
duu washamaliza mpaka kupaka rangiNicxie kichaka chako nakukata huku. Hizo spaces from one seat to another hizo hapo. 👇🏾View attachment 3599672View attachment 3599673
Wana speed ya 5G wanakimbiza kinoma.duu washamaliza mpaka kupaka rangi
nakaziaThe Africa's capital of mud huts and shacks View attachment 3599675
imebaki nn na nn saahvWana speed ya 5G wanakimbiza kinoma.
Kumalizia kueka viti na kuweka hiyo running track tu. Na kufanya landscape nje ya uwanja ambayo pia wameshaanza.imebaki nn na nn saahv
mbna washajitoa kwenye ruzuku za serikali mda mrefu, shirika linajiendesha lenyeweJapo train passengers' service is not a super profitable segment ya transportaion kwa TRC lakini kwa mwendo huu na mapato yanayopatikana from passenger service TRC imeweza kuanza kujimudu kiundeshaji na hapo bado inaishia Dodoma tuu Mwanza na Kigoma ikikamilika mapato ya passengers yataongezeka 5 times na hapo bado cargo haijanza with full force.
jamaa wamekimbiza uwanja kabla ya mda kuisha, itakua walikua wanapiga kazi day andnightKumalizia kueka viti na kuweka hiyo running track tu. Na kufanya landscape nje ya uwanja ambayo pia wameshaanza.