Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Electronics hapana,ila mavazi na urembo soko lao ni kkoo,wakienda nairobi wanawaambia wamenunulia china,kuna sister mmoja wa nbo alitoa code namna ya kujua machimbo kkoo,wafanyabiashara wengi wa nbo walimjia juu vibaya mnoWafanya biashara wengi mombasa wanachukua mzigo kariakoo. Hata wale wa Nairobi Nguo, simu, phone accessories, electronics n.k. wanafunga kutoka town (Kariakoo).