President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kaka tatizo la kenya wala siyo wakenya wenyewe. Kaka mkoloni alipoingia kenya alibeba ubongo wao wote na kuufungia kwenye makumbusho huko ulaya. Fikiria, hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kujisifia kwa kuongea kingereza? Nchi nzima inajisifu kuwa inaonega kingereza kizuri. Haya ni maajabu.Wakenya ni wachafu kupindukia, Tanzania toka Nyerere kuna viongozi kila mtaa, kijiji wanaitwa mabwana afya/ mabibi afya wanapita mitaani kuangalia utupaji taka, mazingira ya choo na usafi wa mazingira na wanatoa fines ukienda kinyume, hii kitu kwa wakenya haipo em NairobiWalker mna social workers wa aina hii kwenye kila ward hapo Kenya?
View attachment 3604137View attachment 3604138View attachment 3604139View attachment 3604140View attachment 3604141