President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Bwana mwaiofhawaii hakuna mtu amewahi kukuliza kuhusu kazi yako humu JF kila mtu anajua hilo. Lakini ni wewe mwenyewe kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri uliutangazia umma kuwa upo Hawaii unafanya kazi huko USA. Ulituma picha nyingi sana ukijifanya kutamba. Je, unakumbuka zile picha ulizituma hapa ukiwa umeweka pause huku umeshikilia bunduki?Why are you so desperate to know about me … keep working on it…🤪
Kwa sababu ulijitangaza wewe mwenywewe wajibu wako ni kuleta full details.
Back to topic - Hivi kweli Kenya nzima yenye population ya watu 58,539,344 mmeshindwa kuweka ka picha kamoja tu ka drone view ya Nairobi!!?
Hapa JF kila mmoja yupo na kiu na hamu ya kuona picha hiyo.
Hizi mbwembwe unazozileta JF imekataa