Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaendelea.....
KWANINI EXCHANGE RATE DHIDI YA DOLA TANZANIA INAPANDA NA HUKO KENYA HAIPANDI SANA - HAYA NI MAMBO YA KISOMI.
Mienendo ya viwango vya kubadilishia fedha kati ya nchi hizi mbili dhidi ya Dola inatawaliwa na kanuni za ugavi na mahitaji (Supply and Demand). Hii ni kanuni ya Uchumi watu wengi wanaijua.

TANZANIA;
Kiwango cha ubadilishaji cha Tanzania kinapanda siku hadi siku (kuhitaji Shilingi nyingi zaidi kununua Dola moja) kwa sababu kuna mahitaji makubwa sana ya Dola sokoni.

Serikali and wakandarasi wanatafuta Dola kila siku kwa ajili ya kuagiza vifaa vya ujenzi wa SGR na gridi ya taifa. Hata hivyo, kushuka huku kwa Shilingi ni kwa kimkakati na kwa utaratibu (Orderly Depreciation) kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ina akiba kubwa ya Dola (zaidi ya $5.3 Billion) inayotumika kutuliza soko pale linapozidiwa.

KENYA
Kiwango cha ubadilishaji cha Kenya kimesimama au hakipandi kila siku si kwa sababu uchumi wao una nguvu ya uzalishaji, bali ni kutokana na mbinu za ulinzi za dharura (Defensive Mechanics).

IMF na Benki ya Dunia:- Kenya imepokea mikopo mikubwa ya mabilioni ya Dola hivi karibuni kwenda kuinusuru isifilisike. Dola hizi zimeingizwa kwenye Benki Kuu (CBK) na zinatumiwa kwa nguvu kusukuma soko ili shillingi isishuke.
Riba Kubwa za Ndani:- CBK imepandisha viwango vya riba vya mikopo hadi juu sana ili kuzuia wafanyabiashara wa ndani kukopa Shilingi na kununua Dola. Hii imesimamisha uagizaji wa bidhaa nje, hivyo mahitaji ya Dola yameshuka kwa nguvu (Artificial Stability).

NB: Kwenye uchumi Kanuni ya Supply and Demand inasema kuwa bei hupanda pale mahitaji yanapokuwa makubwa kuliko ugavi, na bei hushuka pale ugavi unapokuwa mkubwa kuliko mahitaji. Kwa kifupi, bei ya bidhaa huamuliwa na uwiano kati ya kile watu wanachotaka kununua na kile kinachopatikana sokoni.

Nitaendelea next comment kueleza kuhusu local purchasing power kutokana na pesa hizi zinazobaki kwa wananchi na tuone ni wananchi wa nchi ipi wenye maisha bora na kwanini. Usicheze mbali ninakuja...

Teargass mwaiofhawaii IamLee nyangau mkenya nairobae nairobae Nicxie
REAL Comrade Kipepe The best 007 stakehigh Geza Ulole NairobiWalker RRONDO Magonjwa Mtambuka Traveller D Apeche alolo kennedy0000 ChoiceVariable chongchung Chill Kifaru254 Lemzy mwathadan BlietzKrieg AMARII babayao255 ndughuri msuya NDINDA concordile 101 Reborn Ktb The Icebreaker Mgagaa na Upwa game over Mpwimbe Filaria
WRONG
Exchange rate is an AGREED price BY the banks not for the economy but for the BANKS to do an agreed exchange transaction with you, haina uhusiano na uchumi, its called EXCHANGE RATE


Exchange rates are highly influenced by exports, the more you export the less your currency becomes valuable because it becomes cheap for other nations to buy things from your country! However this value is purely manually and has nothing to do with the economy, some notable countries such as china, annually devalue their currency so as to ensure the exports are always matching the global economy
 
It looks like LDC bongolala is about to take its rightful place as the 3rd largest economy in East Africa.
Preliminary budgets according to Bloomberg have Uganda overtaking bongoslum in the 2026/27 budget.
Even if you massage the numbers later President of China , it's clear where this is headed.


View: https://x.com/MwangoCapital/status/2064936556771840115

You need some schooling abit, largest economy there is ethiopia and largest borrower there is kenya, however half of your budget will go to paying back the debts
 
It looks like LDC bongolala is about to take its rightful place as the 3rd largest economy in East Africa.
Preliminary budgets according to Bloomberg have Uganda overtaking bongoslum in the 2026/27 budget.
Even if you massage the numbers later President of China , it's clear where this is headed.


View: https://x.com/MwangoCapital/status/2064936556771840115

Huwa husomi mpaka mwisho , unakurupuka tu.
Screenshot_20260611-120354~2.jpg
 
It looks like LDC bongolala is about to take its rightful place as the 3rd largest economy in East Africa.
Preliminary budgets according to Bloomberg have Uganda overtaking bongoslum in the 2026/27 budget.
Even if you massage the numbers later President of China , it's clear where this is headed.


View: https://x.com/MwangoCapital/status/2064936556771840115

Development spending kwa mwaka 2026/2027
1. Tanzania- 9 bil usd sawa na 40% ya bajeti
2. Kenya - 5.5 bil usd sawa na 15% ya bajeti
3. Uganda 3bil usd sawa na 13% ya bajeti.
Hapo nani yuko vizuri🤣🤣🤣🤣
Kuwa na bajeti kubwa bila ya maendeleo ni ujinga
 
Hapo Kenya na Uganda Zina hali ngumu. Uganda ataitumia karibia 40% ya bajeti kulipa madeni huku mapato ya ndani yakiwa nusu ya bajeti , badala ya kupunguza deni ataendeleaa kuongeza .
Bajeti kubwa za Uganda na Kenya zitahitaji boost ya mikopo
Ya uganda its much better as wataanza kuvuna ela za eacop mwaka huu, there will be a relief ya kenya mkopo wao uko mwishon kukubaliwa nadhan mpaka mwezi ujao utakua ushafika
 
Back
Top Bottom