President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Bwana Kennedy unapoamdika maandishi yako humu usidhani watu hawafiatilii. Kama ninavyoendelea kukuelekeza JF ni jukwaa la wasomi siyo mkutano wa wavuta gundi wa kibera kaka.Meza panga.
The sewer line is big and wide enough for Uber driver Traveller D kuendesha Passo yake ndani.
There is no $400 million project going on in Dar vumbi. Does dar even have any park worth mentioning?
1. Hakuna mradi huo unaoutaja, kila mmoja anaijua Nairobi
2. Kenya inakaribiwa na tatizo kubwa sana la kiuchumi ambalo lilitokana na ijinga wenu wa sifa za kijinga. Uhuru alikopa pesa nyingi bila mpangilio kwaajili ya show off eti kuifanya Kenya iendelee chap chap. Kanuni za uchumi haziko hivyo.
3. Kile mlichopata wakati wa Uhuru mnatakiwa kukivuna sasa, IMF imewapatia masharti magumu kwamba lazima Financial deal ifanyiwe kazi tena sasa. Kubana matumizi na kuongeza kodi kwa kila kitu. Mnatakiwa kufanya sasa. Itawachukua zaidi ya miaka 10 kujinasua hapa, but masharti ya IMF lazima yatimie.
4. Rais pekee aliyekuwa na akili tangu kenya iundwe ni Mwai Kibaki. Hawa akina Ruto na Uhuru ni wahuni wa mitaani.
But nitaeleza kwa kina zaidi mkiendelea kunichokoza.