Wamemfinyia kwa ndani 🤣 🤣 🤣 🤣umeona balozi wa kenya walichomfanyia 🤣
Sasa sisi mechi yetu tumecheza? BTW we have under 17 in world cup participation pamoja na uganda nyie mmebaki na rankingsI was the one telling them that.😂😂😂
yaaani kasimama na kukaaWamemfinyia kwa ndani 🤣 🤣 🤣 🤣
uyo wa kenya hajapigiwa kofi ata mojaWamemfinyia kwa ndani 🤣 🤣 🤣 🤣
Iriza zinaanza kujazana sasa Tz. Wakenya bado na Isuzu zao
View: https://www.instagram.com/reel/DZgzpqgIXAl/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Baada ya mwaka mmoja mchina atakuja na brand zinazofanana na Iriza. Subiri utaona. Lakni rafiki yangu wakenya tumewapelekea moto mpaka wamepoteana. Hebu tuwaitesema kiutan utan irizar inakua standard mpya mchina anaweza kusahauliwa
isuzu wakijibana sana wanatoa iriza pia zenye kunguni 🤣Baada ya mwaka mmoja mchina atakuja na brand zinazofanana na Iriza. Subiri utaona. Lakni rafiki yangu wakenya tumewapelekea moto mpaka wamepoteana. Hebu tuwaite
Teargass mwaiofhawaii IamLee nyangau mkenya nairobae Nicxie NairobiWalker Reborn Ktb The Icebreaker Kifaru254 mwathadan BlietzKrieg
Kila atakaecheza AFCON anatumia iriza sasa sjui kwa wenzetu itakuaje na zile gari za kunguni
View: https://www.instagram.com/p/DZZUfIjjFwC/?igsh=MWZvMXp0OGFqN2dwYg==
Could you please post Dar aerial view so we can compare and contrast ….Warning: Uswazi ahead …🤣🤣🤣
For $50 Guess locationUkiwaambia wakenya wakupatie picha kama hii kutoka Nairobi wanapotelea Kibera. Mnazi mmoja Dar es salaam.
View attachment 3607250
View attachment 3607251
View attachment 3607252
Utawezana?Ukiwaambia wakenya wakupatie picha kama hii kutoka Nairobi wanapotelea Kibera. Mnazi mmoja Dar es salaam.
View attachment 3607250
View attachment 3607251
View attachment 3607252