nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,736
- 3,305
Junction 'Talanta' flyover
Tuonyeshe hiyo yenu Nyamwezi. Mbona kitu rahisi tu!?Watu wana ujenzi unavuka nchi 3 wewe unaonyesha kipande cha zege
Alafu ile yenu ni kama pup, unaogopa kuoonyesha 🤣🤣Nikumbuka tu the one talking about Talanta skyboxes is the one who called this one a skybox baamua tu kunyamaza 🤣🤣🤣View attachment 3608525
Tuonyeshe kwanza kile chumba cha kuswaki pale ngong matopeTuonyeshe hiyo yenu Nyamwezi. Mbona kitu rahisi tu!?
Ile maku ya Arusha Kuna hata barabara ya kufika huko?🤣🤣🤣
Tunaambiwa this is a skybox 😂😂😂Alafu ile yenu ni kama pup, unaogopa kuoonyesha 🤣🤣
Hilo chumba la kuswaki tumekwambia ulionyeshe apa toka morning unakwepa tu, arent you proud of it 🤣 and whats funny uwanja wa 2010 unashindana nao wakati pale arusha boxes zmejaaTuonyeshe hiyo yenu Nyamwezi. Mbona kitu rahisi tu!?
Boxes zimejaa Arusha? 😂😂 Hebu tuonyeshe bongolalaHilo chumba la kuswaki tumekwambia ulionyeshe apa toka morning unakwepa tu, arent you proud of it 🤣 and whats funny uwanja wa 2010 unashindana nao wakati pale arusha boxes zmejaa
🤣🤣🤣🤣 Nmecheka kichz, kuna mtu nmemtumia anauliza eti kati ya hizo 2 nan wameenda kuangalia mpiraTunaambiwa this is a skybox 😂😂😂
View attachment 3608533
Alafu kwamba hii hapa sio skybox 🤣🤣
View attachment 3608534View attachment 3608535
Tushapost picha za arusha stadium apa mpaka zinamwagika, make search your husbandBoxes zimejaa Arusha? 😂😂 Hebu tuonyeshe bongolala
Kwahio apo arena ngong 🤣🤣 wameenda kuangalia nn sasa maaana uwanja hauonekan 🤣Tunaambiwa this is a skybox 😂😂😂
View attachment 3608533
Alafu kwamba hii hapa sio skybox 🤣🤣
View attachment 3608534View attachment 3608535
Bana some random neighborhood flyover ndo inashindana na the main central flyover in darIle maku ya Arusha Kuna hata barabara ya kufika huko?🤣🤣🤣
Hamna 🤣 si unaona pale matope arena uwanja hauonekanIle maku ya Arusha Kuna hata barabara ya kufika huko?🤣🤣🤣
Hakuna barabara ya 10 lanes Kenya yoteBana some random neighborhood flyover ndo inashindana na the main central flyover in dar
View attachment 3608536View attachment 3608538
Wacha wee, kwahio naweza toka jkia mpaka ngong stadium non stop ama mpaka sehem zingine nikae kwenye folen 🤣Bana some random neighborhood flyover ndo inashindana na the main central flyover in dar
View attachment 3608536View attachment 3608538
since you claim to know skyboxes more than us , tell us which stadium it was and when…kwan hujaona picha za from the skybox 😆😆😆 tatizo la mwaiofhawaii na Teargass na Nicxie has always been poverty, hawajawahi kua kwenye skybox basi hata ukiwaelezea amna kitu kinaingia