Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuonyeshe hiyo yenu Nyamwezi. Mbona kitu rahisi tu!?
Hilo chumba la kuswaki tumekwambia ulionyeshe apa toka morning unakwepa tu, arent you proud of it 🤣 and whats funny uwanja wa 2010 unashindana nao wakati pale arusha boxes zmejaa
 
Hilo chumba la kuswaki tumekwambia ulionyeshe apa toka morning unakwepa tu, arent you proud of it 🤣 and whats funny uwanja wa 2010 unashindana nao wakati pale arusha boxes zmejaa
Boxes zimejaa Arusha? 😂😂 Hebu tuonyeshe bongolala
 
kwan hujaona picha za from the skybox 😆😆😆 tatizo la mwaiofhawaii na Teargass na Nicxie has always been poverty, hawajawahi kua kwenye skybox basi hata ukiwaelezea amna kitu kinaingia
since you claim to know skyboxes more than us , tell us which stadium it was and when…
I have been inside a few times ( I can say it with confidence and evidence)….
So the ball in your court… talk is cheap…🤪
Tuonyeshe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…