Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa is better than all cities in Tanzania yet it's not hosting AFCON. Ama kuhost AFCON ndio kigezo cha development of the city?
Facilities budaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakuna facilities in kundurenda cities out of Nairobi, kama zipo leta hapa.

That’s the only reason. Bisha kwa hoja.
 
🀣🀣🀣🀣 Nmecheka kichz, kuna mtu nmemtumia anauliza eti kati ya hizo 2 nan wameenda kuangalia mpira
Of course ni hawa wenye wako ndani ya skybox 🀣🀣🀣
 
Hii skybox unaona pitch yote ile nyingine sasa unamuona lines man tuu na kidendera chake🀣🀣🀣
Kwa hivyo hiyo ya makwapa ni skybox? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…