Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The biggest bird in EAC.

Image
302613.png
302612.png

787-8 tunamiliki 2 si za kukodi maku ww,hiyo ndege yenu ya kukodi kawaringishie burundi
 
Siku mki own cha kwenu kama hiki, ndio mje tuongee. But now unasifia chombo ya Mholanzi

View attachment 3610667
Punguza kuropokwa KLM only owns 7% of KQ already have 777. Mbona tukose usingizi ju ya 767 ambayo inatumika na private airlines huku Kenya.

YWwtNzY3Ri5qcGc

Bongoslum bila air tangagiza ya serikali na Precision Air ya KQ hakuna airline ikona ndege ya maana huko kwenu. Hata airlines za maana pia ni mbili kama matako. 😂 😂 😂

748 air services plane at Eindhoven (EIN / EHEH) Netherlands

Kenya's Renegade Air grows fleet and cargo ops

Zw

MTAwLTIuanBn
5Y-BZL Jubba Airways Boeing 737-4B7 Boeing, Airlines, Aircraft, Commercial, Vehicles, Aviation, Car, Planes, Airplane
5Y-CKD - Boeing 737-290C(Adv) - Transafrican Air

aXRlZC5qcGc
Freedom Airline Express Airbus A320
5Y-AXN - McDonnell Douglas MD-82 - African Express Airways

5Y-KQB - Boeing 737-3U8 - Daallo Airlines

Kenyan appeal court stops Bluebird Aviation revaluation
 
Wakenya bado wanatumia Isuzu. Vipi wakenya huku mtafika lini?

View attachment 3610697
Ukiwa ndani ya Hiyo chuma From Dar to Mbeya (850Km) of smooth Tarmaked road, unacheki na gemu za Kombe la dunia Live Kupitia Azam TV,
Czechia Vs South Africa (1-1) FT

However, 2026 over the whole of Kunya there is no single irizar i6, neither Marcopolo body bus,
They only know some isuzu trucks, canter and reformulated 1988 fiat trucks, zimewekwa some mabati to ferry passengers all over the poor country.

IMG_3814.jpeg

IMG_3765.jpeg
 
View attachment 3610706View attachment 3610707
787-8 tunamiliki 2 si za kukodi maku ww,hiyo ndege yenu ya kukodi kawaringishie burundi
Nchi ya watu 70 million ina airline mbili pekee ya maana. Mbili kama matako. Na ujue hio precision airlines ni ya KQ. 😂 😂 😂 Bongoslum investments kubwa hua za serikali tu, kama serikali yenu haingewanunlia ndege na kuwajengea maghorofa mungekua tu kama Burundi.
 
Kama precision ni ya kq,basi kq ni ya waholanzi,mtakuja kut.mbwa kwa kujipa vitu vya watu,then tuonyeshe nchi ya watu milioni 65 kunyaland ndege wanazomiliki kama nchi sio za kukodi
 
Kama precision ni ya kq,basi kq ni ya waholanzi,mtakuja kut.mbwa kwa kujipa vitu vya watu,then tuonyeshe nchi ya watu milioni 65 kunyaland ndege wanazomiliki kama nchi sio za kukodi
KQ owns 41% of precision air. 42% is owned by the airline founder, bila KQ hapo hakuna airline. Meanwhile KLM owns only 7% of KQ. Kenya ina more than 10 airlines operating big commercial aircrafts like Boeing, Airbus, Dash 8, Embraer etc. Bongoslum muna mbili pekee. 😂 😂 😂 Precision Air owned by KQ na Air tangagiza, bila serikali hamna uwezo nyinyi.
 
Nchi ya watu 70 million ina airline mbili pekee ya maana. Mbili kama matako. Na ujue hio precision airlines ni ya KQ. 😂 😂 😂 Bongoslum investments kubwa hua za serikali tu, kama serikali yenu haingewanunlia ndege na kuwajengea maghorofa mungekua tu kama Burundi.
302757.png
302758.png

We maku ako kanchi chenu chenye watu milioni 65 hakina hata ndege 1
 
KQ owns 41% of precision air. 42% is owned by the airline founder, bila KQ hapo hakuna airline. Meanwhile KLM owns only 7% of KQ. Kenya ina more than 10 airlines operating big commercial aircrafts like Boeing, Airbus, Dash 8, Embraer etc. Bongoslum muna mbili pekee. 😂 😂 😂 Precision Air owned by KQ na Air tangagiza, bila serikali hamna uwezo nyinyi.
302758.png

Kq wanamiliki ndege ngapi?
 
what kind of satisfaction do you get by posting a car accident?
Are there zero accidents there? What’s your point exactly? Mbona sielewi
i think hilo swali ungeuliza waliopost because i am only sharing whats alreeady shared
 
Back
Top Bottom