concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Kumbe nyinyi stupid ukiwa na mtandao wa high voltage mkubwa utahitaji km ndogo na low na medium voltage.So utawekewa stima kwa nyumba yako direct from a high voltage line??
Nyinyi ndio wajinga mnafikisha transformer kwa Kijiji then mnajigamba vile nchi imeendelea other than PER HOUSEHOLD.
Mfano 400kv kwa Tanzania inatokea jhhp kupitia central Tanzania to mwanza and kigoma , kwa point hiyo utahitaji vituo vichache vya kupozea na transformer kubwa kwa ajili ya distribution network . Ndo maana nyinyi mna km nyingi sana za 66kv kuliko Tanzania sababu inawabidi na mnezicategorize kama distribution network .
Mind you a 400 kv transmission line Inaweza transport mpaka umeme wa 1500mw ikiwa single circuit na ikiwa double Inaweza fikia 3000( sababu kuna another dam (. From Dodoma to tabora kuna double ( sababu ya mtera dam) circuit ikiwa na maana network Inaweza beba mpaka 3000 mw same kwenye distribution networks ambayo nayo Iko applicable kwa Tanzania.
Nyinyi mnahitaji km nyingi sababu nyinyi vijiji vyenu viko mbali mbali hivyo mnahitaji nyaya nyingi kusafirisha umeme wakati Tanzania distance mji na ni karibu sana.