Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya kuna over 600km of 500KV. Enyewe we ni fala. 😂😂😂
Unajua bongoslum hakuna any 500KV line. Mwanza your 2nd biggest city hata haiko connected to a 220kv line leave alone a 400kv.

Ketraco owns zero of the said km, Tanzania government owns almost 98% of the distribution network, umewahi jiuliza tukiruhusu private sector kufanya hiyo shughuli.
About mwanza.
Kigoma the least developed of all is served by 400kv transmission line,
Sisi hatufanyi kwa mkumbo , shinyanga Iko served na 400kv ambako ndo kuna viwanda kuliko mwanza.
500kv ya Kenya ni private serikali yenu haina uwezo wa kujenga na mnahitaji hiyo sababu hamna umeme wa kuzalisha mpaka muombe🤣🤣🤣.
Any turkana na mandera washaacha kutumia diesel generators lini?
 
ivi unajua wakina CAF president na FIFA president wanatakiwa kukaa apa 🤣 🤣 au wataangalia kwenye tv

View attachment 3611764
Watasimama
images - 2026-04-20T181301.401.jpeg
 
Chokora wa kiatu kimoja amesema hii ni kama ile Mercedes Benz field ya Atlanta …🤣🤣🤣🤣🤣🤣…. Next Watchie atasema yeye na real Obama ni same coz they share same profile pic…🤣🤣🤣
kuna mtu alisema, if chokoraa was a stadium 🤣 🤣 "sio mm jamani msinivamie"
1781965491150.png
 

Attachments

  • 1781965429908.png
    1781965429908.png
    3.9 MB · Views: 19
You're proving me right.

Kama unsjua kiingereza vizuri sio cha kujikakamua utamuelewa hapo,angalia mpaka mwisho maku then msikilize vizuri alipoiongelea zanzibar na diani ndio utulie ili umuelewe,she tried kupata ardhi TZ ila sheria zilimbana ndio kaja jalalani huko
 
Uganda is going to have one of the best rail systems and modern! Also people from Uganda can move to congo non stop via rail, its going to be best, You can move from kampala to kigali to bujumbura, morogoro or you can even move straight to congo on a dingle rail network, however some smoke countries ... 🤣🤣🤣 (Excuse me for laughing on this serious matter)



View: https://x.com/DianoPeters/status/2068268484413255729?s=20
 
Dodoma ni mji unaokua sana ..
ukiachana na Gvt city, Dom old CBD na NCC link.. haya hapa ni maeneo potential yanayokua kwa kasi mno.
Hizi hapa ni apartments zinazojengwa Dodoma saa hii, yaani zipo U/C no sooner zitazinduliwa..
Njedengwa valley view apartments
IMG_6381.jpeg
MEDELI phase iii
IMG_6388.jpeg
Iyumbu phase ii
IMG_6389.jpeg
Dodoma inakua kwa speed kwa urefu na mapana.
 

Attachments

  • IMG_6389.jpeg
    IMG_6389.jpeg
    145 KB · Views: 20
Hii si sky box , hii ni Sikai boxi …😆😆
imagine a whole set of idiots waliambiwa znaitwa skyboxes, poleni lakini 😆😆😆 btw mliambiwa mtawekewa na VAR and Goal line Tech nenden mkadai, $1.2B is alot bana Yaani Mkapa ina VAR alafu uwanja wa mwaiofhawaii hauna
1781966695529.png



eti Teargass lile swala la VAR and Goal line Umekatia tamaa ama namna gan? 🤣 🤣 🤣 yaaani kauwanja cha 20 years back kanawashinda

View: https://x.com/MickyJnr__/status/2047736697912205465?s=20
 
Back
Top Bottom