ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
radio yako uliipata?Chokora wa kiatu kimoja amesema hii ni kama ile Mercedes Benz field ya Atlanta …🤣🤣🤣🤣🤣🤣…. Next Watchie atasema yeye na real Obama ni same coz they share same profile pic…🤣🤣🤣
mwaka huu kweli paraisi wameamua
Hivi hawa wakundustan washawahi jiuliza siku tukiamua ku issue IPO za kampuni kama TANESCO na TRC itakuwaje ? Tanesco Inaweza kuja kuwa ndo kampuni yenye mtaji na dhamani kubwa kuliko zote
sioni cha kushangaza hapa coz mko nareli kama hili kando na sgr yenusema mm nachowakubali wakenya kwenye swala la treni tu, wako vizuri ni world class
View: https://x.com/AfricanHub_/status/2022672276701802765?s=20
kwahio ipi apo mwana etu ni commuter?sioni cha kushangaza hapa coz mko nareli kama hili kando na sgr yenu
View: https://www.youtube.com/shorts/yzqdNrCiUXg
Eti eti travel with the animals 🤣 🤣 President of China mskie uku jamaaa ana dharau sana eti travel with the animals
View: https://www.tiktok.com/@kenya.railways6/video/7652648543081073938
Uwanja mmoja una sitting capacity kama ya living room yangu
Unamkumbuka Shakira Mohamed?Nimeangalia na amesema anaprefer diani na Mombasa ama Kenyan coast because of safety and cleanliness. Hakuna mahali ameongelea ease of owning land, kitu ameaema ni "the hardest part of buying land is everyone has something different to offer".