Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania Heart Institute
3764269_orig.jpg
160525142944_muhimbili_tanzania_bypass_heart_surgery_2_640x360_bbc.jpg
download.jpg
ma2.JPG
Mtambo-wa-Cath-Lab.jpg
unnamed-1.jpg
unnamed-3.jpg
unnamed-4.jpg
url-3-1.jpeg

Acha uongo wewe. Kama umeshindwa kuleta proof basi tuendelee
Zako nazichambua kwenye google lakini zanipa taabu! Zingine hazipatikani, Zingenine ni learning centers na Research Hebu google Rasibisia utapata nini?
 
Half London unaifananisha na dark city..next tym usirudie tena
 
Majengo ya kuvuti kwako kwa sababu wewe ni mshamba. Sisi sio sehemu moja tu yenyemajengo ya kuvutia. Ni sehemu nyingi mno. Nyie kasehemu kamoja tu na majengo mengi ya mkoloni. Twende kwenye health centers bra bra.
Mambo ya majengo ya mkoloni sijui kakuambia nani. Na basi heri nisalie na ushamba wangu kama ushamba ndio huo. Nashangaa tena sana. Hivi wewe umefika huku ama waongea tu. Hizi picha za mitandaoni unazotutumia hapa hazitoshi mboga mjomba. Nikikuambia Nairobi kuna Karen, Runda, Kileleshwa, Westlands, Upper hill, Ngong nk. Utasema nimejiundia hayo. Chema chajiuza babu. Wajua suala ni moja, yule ambaye hajatembea sana hudhani mamake ndio mpishi bora zaidi na sioni tofauti hapa.
 
Mambo ya majengo ya mkoloni sijui kakuambia nani. Na basi heri nisalie na ushamba wangu kama ushamba ndio huo. Nashangaa tena sana. Hivi wewe umefika huku ama waongea tu. Hizi picha za mitandaoni unazotutumia hapa haotoshi mjomba. Nikikuambia Nairobi kuna Karen, Runda, Kileleshwa, Westlands, Upper hill, Ngong nk. Utasema nimejiundia hayo. Chema chajiuza babu. Wajua suala ni moja, yule ambaye hajatembea sana hudhani mamake ndio mpishi bora zaidi na sioni tofauti hapa.
Sasa hayo majina mbona hata hapa yapo tu? Kwanini usiweke hizo photo tuanze mtaa kwa mtaa ku compare?
Maneno mengi ya nini?
 
Sasa hayo majina mbona hata hapa yapo tu? Kwanini usiweke hizo photo tuanze mtaa kwa mtaa ku compare?
Maneno mengi ya nini?
Si ujigooglie basi. Wakati huo sina. Urombe hauanikwi hivi hivi. Sina hatihati kuwa yapendeza. Kama huamini si jinzi unavyoziposti za Dar hapa si ujichambulie mwenyewe za sehemu ulizotaja uone kama nakuhadaa. Mambo mengine ubishi wa bure tu. Hayajengi uchumi na si worth it
 
Basi kama huwezi hii battle uwe mtazamaji.
 
Unajua hawa watu tunataka kuwaonesha kwamba sisi ni wababe. Wasidanganywe tu. Wanatafuta sababu nyingi kweli.
Mimi niliorodhesha hospitali 22 kwa mpigo! wewe ukafika 15 kwa mpigo! Nimewin! twende kwa City Masterplan
 
Sasa unakujaje sasa tuende sawa? Au umemaliza hospitals za Nai?
Anneal, Unasumbua kweli, leo umenimalizia muda sahi ningekuwa nimeandika blog moja! Wacha niachane na mambo yako wewe! Nauna hunauhakika na mambo unayoyasema! Pili naona wajaribu tu kujua Nairobi! Hakuna lolote hapa! Wacha nisape
 
Back
Top Bottom