Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, I already told you that Westlands alone has more buildings under construction than whole of Tanganyika.

You said you have more projects. Hebu zilete hapa
zilete zote and i will happily help you how wetlands exactly look, very familiar with that place,
 
Only project? 🤣🤣🤣🤣
Bongolala, there are more projects in Westlands alone than in Tanzania as a whole

Hubu tuonyeshe hizo building projects zenu hapa

Sjui kama umemuelewa jamaa kakwambia ulete picha ya building yoyote ambao hajajengwa kwenye mfumo wa early 40's. in simple words this is the whole westland na haina glass bluiding ata moja
1782224580393.png
 
These ones are just within GTC complex alone. Hapa hatujaguza the rest of Westlands and Nairobi

) GTC Complex
2) Grosvenor
3)Misty Springs
4) Shangri-La
5) Shangri -La phase Two
6) Citrine Towers
7) Monte- blue
8) Skyline towers
9 ) Diamond Bay
10 ) Royal Vistaa
11 ) Super-View Apartment
12) Super view apartment phase two
you were supposed to reply with buildings kama hizi


hizi zinaitwa glass buildings

View: https://www.youtube.com/shorts/4dtvS2SsfcU

View: https://www.youtube.com/watch?v=Z7LkzPOJZJI&pp=ygUlZXRoaW9waWEgY29tbWVyY2lhbCBiYW5rIG5ldyBidWlsZGluZw%3D%3D
 
Kuna watu walitamani kufika fainali sema ndo ivo tena 🤣
Ulipost ukidhani mliwafunga only to realize it's the other way round 🤣🤣🤣🤣🤣
Ikabidi ufute haraka sana 😂 😂

Ndio kawaida yako sasa. Vitu unapost humu huwa huelewi content zao, wewe hupost tu!
 
Back
Top Bottom