stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
namna gan pale Teargass 😆 au Nicxie ndo kafukuzwa nn
View: https://x.com/Kenyans/status/2070101724874915872?s=20
View: https://x.com/Kenyans/status/2070101724874915872?s=20
Babu mwaiofhawaii anajinadi humu baba yake alisoma TZ,ukienda DMI pale wamejaa wanafunzi wa kutokea kenya
Mimi nimesoma Muhimbili, Wakenya walikuwepo kibao.Babu mwaiofhawaii anajinadi humu baba yake alisoma TZ,ukienda DMI pale wamejaa wanafunzi wa kutokea kenya