Babu mwaiofhawaii anajinadi humu baba yake alisoma TZ,ukienda DMI pale wamejaa wanafunzi wa kutokea kenya
Mimi nimesoma Muhimbili, Wakenya walikuwepo kibao.Babu mwaiofhawaii anajinadi humu baba yake alisoma TZ,ukienda DMI pale wamejaa wanafunzi wa kutokea kenya
mbna ata president mwenyewe alikuja tz, why are you mad mwaiofhawaii