stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Mwanaetu hizo treni bila kukata wiki before unaambuliwa patupu japo pia sio mbaya wameongeza ila nawaza route za dar kwenda mwanza arusha sjui patakuaje, yaani ni bora walinunua zile double dec mapemaSiku njema huonekana asubuhi
View attachment 3616031