Wewe unaelewa kinachoendeleaRwanda ametoka kwenye kivuli cha G2G cha Kenya na kuanzisha G2G yake mwenyewe na Oman kama Uganda alivyojitoa. Kenya's part comes in the use of Mombasa port only; as for the pipeline owner wake ni Uganda. Hata hivyo, wakati Rwanda yuko under the shadow of Kenya's G2G deal, bado mafuta yake machache yalikuwa yanapitia Kenya pia, so hatutegemei any change hiyo ni publicity stunt tuu.
Most of the time is about projection…. We know them…💯Hehehe, Kumbe mnamezea mate Kenyan infrastructure nanmnajifanya hapa eti ni poor quality.😂😂
Kalemie to kigoma ni kama miles 80 hivi,serikali ingetafuta muwekezaji akatengeneza roro ship ya kuingiza lori kama 20 tu kwa trip,ingekua bab kubwa sanaI think kati ya Keza au Musongati kutakuwa na marshalling yard kubwa sana hapa Afrika kwa mizigo ya DRC, Burundi, Rwanda, Uganda and Zambia
Anyone can plant grass , water it and it will be green overnight. You need to understand Talanta used a grass technology method never applied before in Africa… it’s not just planting grass, there was a technical process that I might need an hour to reexplain to you but my time is limited…Google it yourself..🤪If your stadium is this green. Tupe picha zake
View: https://www.instagram.com/p/DZ4lIbHMhDm/?igsh=MWpkdDZ5bTRvOThxNA==
jitahidi kitu kama hukijui upumzikeAnyone can plant grass , water it and it will be green overnight. You need to understand Talanta used a grass technology method never applied before in Africa… it’s not just planting grass, there was a technical process that I might need an hour to reexplain to you but my time is limited…Google it yourself..🤪