Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,324
- 18,182
Mradi wa 15 floors haijashuhudiwa Kenya? Wengine wenu ni wa kupuuzwa tu. Ni attention mnatafutaZnz inayo miradi mingi ambayo haijapata kushuhudiwa hapo kunyarenda, leo nitakuletea karibu miradi kadhaa ili ujifunze Znz ns ujue ni kwanini tunaisifu.