Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,149
- 5,636
Umeamua utuonyeshe vinyundo😂😂.
Kupata gorofa za 30 floors under construction in Dar imewashinda hadi mnatujazia servers hapa na dwarf buildings?
13 floors?🤣🤣😂🤣
Umia ukimaliza kajambe ulale.Hata Garissa iko na hizi renders, now show us actual constructions.